Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
mdau

Moderators
Registered:
Posts: 42
Reply with quote  #1 
Spika Anne Makinda leo amefanya kituko cha aina yake. Amekataa mwongozo wa wabunge wa kutaka hoja ya mgomo wa madaktari bingwa kujadiliwa kwa sababu hali imekuwa mbaya sana.

Spika Makinda akitazama hii video ya leo baadae akijiona hata yeye atajishangaa kwa maana ulikuwa ni unyama wa aina yake kukataa hoja hii. Watu wanakufa mahospitalini na sio mchezo.
Unregistered
Reply with quote  #2 
Hii nchi kilichobaki ni kuwa ichukuliwe na wananchi wenyewe.
Inatia hasira.
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!