Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Unregistered
Reply with quote  #1 
CCM imeanza kufanya vurugu na uharamia wa kiwango cha juu Arusmeru.Leo majira ya saa tatu asubuhi viongozi wa ccm wakiongozwa na Kingazi ambaye ni katibu wa ccm wa wilaya ya Moshi,ayao,na kiambatana na Ndekubali,wamemteka mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Magadrisho kata ya Usa river.Utekaji huo ulifanyika wakiwa na gari aina ya pick up Ford namba  DFP 5481.Baada ya kumteka wakampeleka kwenye kambi kumshushia kichapo,kwa sasa mwenyekiti huyo aliokolewa na Polisi,na amepewa PF3
Polisi pia wamemshikila Mh Msigwa mbunge wa CHADEMA kwa tuhuma za kuhusika na vurugu za jana zilizotokea jana eneo la maji ya Chai,baada ya vijana wa green guard kuwavamia CHADEMA kwenye gest waliyofikia.Katika tukio hilo gari la ccm lilivunjwa vioo vya nyuma.
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!