Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Unregistered
Reply with quote  #1 
Mbunge wa Arusha mheshimiwa lema, tunachoka kwa jinsi tunavyohangaika kukutetea maana kuna maswali hayajibiki kuhusu utendaji wako. Tuko pamoja sana katika harakati lakini umezidisha kiasi kwamba unasahu kuwa tunatakiwa pia mkono uende kinywani. Weka level mambo ya harakati na mambo ya mahitaji muhimu ya kimaisha ambayo hayahitaji harakati, yaani uyazungumzie na uyachukulie hatua kuyapa utatuzi. Kamanda uchumi tumepinda hali ngumu.
Unregistered
Reply with quote  #2 
Kama umechoka kalale. Tuache tuendelee na harakati. No financial freedom without real freedom.
mdau

Moderators
Registered:
Posts: 42
Reply with quote  #3 
Hueleweki umechoka nini! Huna hela ya kula au kodi ya nyumba?


Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!