Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Unregistered
Reply with quote  #1 
Hii ni habari ya uhakika kabisa kuwa CHADEMA iko kwenye target ya kusambaratishwa kwa kutengenezewa migogoro ndani ya chama.

Moja ya watu walio katika utekelezaji wa mpango huo ni Dominick Mboya ambaye inasemekana kuwa amepewa Tshs MILIONI 17. Wengine ni Fredrick kandoka, yeye ametoka Tanga, Agripina Josephat ametoka DSM na mwenzake Victoria Panga ambao wana kazi ya kujiweka karibu na uongozi na kuanzia mwezi januari 2012 wamekuwa wakihudhuria mikutano yote ya chadema kama wanaharakati wazuri. Wengine ni wanasheria wawili ambao inasemekana kuwa wamekuwa karibu sana na chama ili kutoa ushauri wa wa kisheria lakini lengo likiwa ni kuuteka uongozi na kisha kuufarakanisha.

Habari ya kesi ya uchaguzi dhidi ya Lema isidharauliwe na chadema maana kesi hii imepaniwa na WAKUBWA kumpiga chini bila kujali kitakachotokea. Akili kichwani.

Ringo
Reply with quote  #2 
Huyu mboya kweli atakuwa ni mamluki. Huwa anakuja hapa ofisi za mwanasheria wa serikali na kwa kweli simuelewi kabisa.

Ila siasa kweli ni mchezo mchafu.

Unregistered
Reply with quote  #3 
Hata kina mallah na wenzake walikuwa mamluki, lakini wameshindwa. Huwezi kupambana na ukweli.

Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!