Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Unregistered
Reply with quote  #1 
Niliyoyaona jana wakati mhe mbunge Lema anatoka mahakamani, kweli Lema anapendwa jamani. Ule umati na ule msafara ambao ulikuwa unamsindikiza kwenye ofisi za chama kweli unatosha kuonyesha dhahiri kweli Lema ni mtu wa mungu.
Mungu akulinde baba.
Unregistered
Reply with quote  #2 
interesting stuff! I wish you all the best with your work there in Tz
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!