Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Chachana

Registered:
Posts: 14
Reply with quote  #1 
kesi inayoendelea hivi sasa katika mahakama huko arusha, inasemekana ina lengo la hila la kutaka kumvua ubunge mhe lema.
Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na watu ambao kikatiba wana haki ya kufungua lakini kimsingi na kiukweli inasemekana wametumwa na CCM ili kuweza kuvuruga chadema na mbunge Lema.
Tuone haki na dhambi nani atashinda.

Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!