Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Nanyaro

Registered:
Posts: 16
Reply with quote  #1 
Baada ya kukaa gerezani kwa siku kadhaa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha,Samson Mwigamba,anatarajiwa kutoka kesho,baada ya remove order kupatikana
Awali Mwigamba alishikiliwa na polisi jijini Dar,akituhumiwa kuandika makala ya uchochezi kwenye gazeti la Tanzania daima,

__________________
saa ya ukombozi ni sasa
Unregistered
Reply with quote  #2 
nimesoma makala ya samson mwigamba, kwa kweli nchi hii balaa tupu.


Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!