Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Unregistered
Reply with quote  #1 
Binafsi huwa namkubali sana,huyu kamanda,ni mpole,msikivu,na mwadilifu,kwa muda sasa amekuwa ngome ya chama hapa Arusha mjini.Ametekeleza kwa vitendo ahadi zake kwa wapiga kura wa Levolosi,ujenzi wa Barabara,Shule nk.Nawaomba CHADEMA wampitishe apepeshe bendera Meru,kwani anauzika
Chonde chonde chadema mpitisheni Nanyaro
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!