Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Mmeru
Reply with quote  #1 
Tunaomba uongozi wa chadema mjibu hizi tuhuma za hawa CCM maana wanatuchafua sisi wameru.

Kauli ya Tendwa mbunge lema alifanya vurugu wakati wa msiba wa marehemu sumari ni ya uongo mtupu. Wote tulikuwepo pale msibani waliofanya hizo vurugu ni vijana wa ccm ambao walifanya kwa hamaki. Hai wazee wa meru hawajasema chochote, pengine ni wazee wa ccm ambao sisi kwetu hawatufai maana wangekuwa na busara ya kweli kweli wasingekubali kutumiwa katika upuuzi huu.
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!