Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Unregistered
Reply with quote  #1 
Katika kutapatapa wakili wa Serikali Kakolaki,leo amewasilisha hati mpya ya mashtaka dhidi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA,wabunge na wanachama,ya Jan 5,hati hiyo ina mashtaka 13 badala ya 8 ya awali,hata hivyo ilishindikana kusomwa kutokana na washitakiwa,kutofika mahakamani,kufuatia kifo cha Mh Regia (Mb).Kesi hiyo itasikilizwa 21 February,na itaendelea kusikilizwa mfululizo hadi 3 March.
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!