Jukwaa la Wananchi
Register Calendar
 
 
 


Reply
  Author   Comment  
Mkazi
Reply with quote  #1 
Nimeukumbuka wimbo wa Dr Slaa anaweza.

Jamani Tanzania tungekuwa na Rais mpya hivi sasa hata kusheherekea miaka 50 ya uhuru kungekuwa na maana.

Hebu usikilize wimbo huu
Unregistered
Reply with quote  #2 
Mpaka machozi yamenitoka.

Unregistered
Reply with quote  #3 
Eeeh Mungu uturehemu kwa kufanya kosa la kushindwa kuelewa kuwa tulitakiwa kumchagua Yesu sisi tukamchagua Baraba.

Mgoko
Reply with quote  #4 
Nafikiri Mkazi, mawazo yako yalikuwa sahihi sana na utafiti wa Synovate.

Dr Slaa ndio rais wa mioyoni mwa watu, JK ni rais wa Ikulu.

Mkazi
Reply with quote  #5 
Kwako Edson wa Mbeya,
Kawimbo haka pia kuwa Dr anaweza!

Unregistered
Reply with quote  #6 
Imenikumbusha mbali sana.
Ni kweli slaa anaweza na JK ameshindwa kabisa nchi haitawaliki tena.
Previous Topic | Next Topic
Print
Reply


Create your own forum with Website Toolbox!